Friday, December 4, 2020
FAO yaanza na halmashauri 3 kujenga uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa
Mratibu Taifa Dawati la Afya Moja, Ofisi ya Waziri Mkuu, Harrison Chinyuka
akifafanua umuhimu wa kutumia Dhana ya Afya moja wakati wa mafunzo wa Kuzijengea
Halmashauri Uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa
kwa kutumia Dhana ya Afya moja, Mafunzo yameratibiwa na Ofisi hiyo pamoja na
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mjini Morogoro, kuanzia
tarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Baadhi ya Washiriki kutoka Halmashauri za mikoa ya Arusha, Dar es salaam na
Mwanza wakifuatilia mafunzo ya Kuwajengea Uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea
vya Magonjwa dhidi ya Dawa kwa kutumia Dhana ya Afya moja, Mafunzo yameratibiwa
na Ofisi hiyo pamoja na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO),
mjini Morogoro, kuanzia tarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Mratibu wa Mafunzo kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa
(FAO), Tanzania, Elibariki Mwakapeje, akieleza dhamira ya Shirika hilo katika
Kuzijengea Halmashauri Uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi
ya Dawa kwa kutumia Dhana ya Afya moja, Mafunzo yameratibiwa na Shirika hilo
pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, mjini Morogoro, kuanziatarehe 2 hadi 4 Desemba,
2020.
Baadhi ya Washiriki kutoka Halmashauri za mikoaya Arusha, Dar es salaam na
Mwanza wakifuatilia mafunzo ya Kuwajengea Uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea
vya Magonjwa dhidi ya Dawa kwa kutumia Dhana ya Afya moja, Mafunzo yameratibiwa
na Ofisi hiyo pamoja na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO),
mjini Morogoro, kuanziatarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Mtaalumu wa masuala ya Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kutoka Wizara
ya Mifugo na Uvuvi, Gibonce Kayuni akifundisha namna ya kupambana na usugu huo
kwenye sekta ya mifugo wakati wa mafunzo ya kuzijengea Halmashauri Uwezo wa
kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kwa kutumia Dhana ya
Afya moja, Mafunzo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Shirika la
Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mjini Morogoro, kuanzia tarehe 2
hadi 4 Desemba, 2020.
Mtaalumu wa masuala ya Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kutoka Chuo
kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi- Muhimbili, Hussein Mohamed akifundisha namna ya kupambana na usugu
huo kenye Nyanja ya afya ya binadamu,wakati wa mafunzo ya kuzijengea Halmashauri
Uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kwa kutumia
Dhana yaAfya moja, Mafunzo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mjini Morogoro, kuanzia
tarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali RBA linalojihusisha na kuelimisha
jamii kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa, Erick Venant,
akifundisha namna kuishirikisha jamii wakati wa mafunzo ya kuzijengea
Halmashauri Uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa
kwa kutumia Dhana ya Afya moja, Mafunzo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu
pamoja na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mjini
Morogoro, kuanzia tarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya kuzijengea Halmashauri Uwezo wa kupambana na
Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa wa kijadili mbinu za kupambana na
usugu huo wa wakati wa mafunzo yaliyoratibiwa na Ofisiya Waziri Mkuu pamoja na
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO),mjini Morogoro, kuanzia
tarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Mtaalumu wa masuala ya Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kutoka Chuo
kikuu cha Kilimo Sokoine, Abubakar Hoza akifundisha namna ya kupambana na usugu
huo kwa kwenye nyaja ya mifugo wakati wa mafunzo ya kuzijengea Halmashauri Uwezo
wa kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kwa kutumia Dhana ya
Afya moja, Mafunzo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Shirika la
Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO),mjini Morogoro, kuanzia tarehe 2
hadi 4 Desemba, 2020.
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya kuzijengea Halmashauri Uwezo wa kupambana na
Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa wa kijadili mbinu za kupambana na
usugu huo wa wakati wa mafunzo yaliyoratibiwa na Ofisiya Waziri Mkuu pamoja na
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO),mjini Morogoro, kuanzia
tarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Katibu Tawala Msaidizi (Uchumi), Mkoa wa Dar es salaam, Elizabert Mshote akitoa
uzoefu wa shughuli za uratibu kama mshiriki wa mafunzo ya kuzijengea Halmashauri
Uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kwa kutumia
Dhana ya Afya moja, Mafunzo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mjini Morogoro,
kuanziatarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Katibu Tawala Msaidizi (Uchumi), Mkoa wa Arusha, Hargeney Chitukuro akitoa
uzoefu wa shughuli za uratibu kama mshiriki wa mafunzo ya kuzijengea Halmashauri
Uwezo wa kupambana na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kwa kutumia
Dhana ya Afya moja, Mafunzo yameratibiwa na Ofisi ya Wazir Mkuu pamoja na
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mjini Morogoro, kuanzia
tarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
Washiriki na wawezeshaji wa mafunzo ya kuzijengea Halmashauri Uwezo wa kupambana
na Usugu wa vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa kwa kutumia Dhana ya Afya moja
wakiwa katika picha ya pamoja, Mafunzo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu
pamoja na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mjini
Morogoro, kuanzia tarehe 2 hadi 4 Desemba, 2020.
F