OWM
Wednesday, July 30, 2025

SERIKALI KUWEKEZA KATIKA UVUVI WA BAHARI KUU

›
Mkurugenzi wa Uratibu wa Shughuli za Serikali kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Paul Sangawe ameongoza Kikao cha Kamati ya Wataalamu kuhusu ma...
Monday, July 28, 2025

JITIHADA ZA PAMOJA ZINAHITAJIKA KUPAMBANA NA UDUMAVU – DKT. YONAZI

›
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, ametoa wito kwa Serikali na wadau kushirikiana kwa karibu kat...
Wednesday, July 23, 2025

KAMATI YA MAKATIBU WAKUU YARIDHISHWA NA UJENZI WA UWANJA MPYA WA MPIRA JIJINI ARUSHA

›
  Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridh...

WAZIRI LUKUVI AWAPONGEZA MALIASILI KWA KUTEKELEZA MAONO YA MHE. RAIS SAMIA

›
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. William Lukuvi ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kutekeleza ki...
Tuesday, July 22, 2025

MIUNDOMBINU YA MICHEZO ZANZIBAR YAVUKA KIWANGO CHA KIMATAIFA KUELEKEA CHAN

›
Serikali imeridhishwa na maandalizi ya miundombinu ya michezo Zanzibar kuelekea Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN...
Monday, July 21, 2025

TANZANIA YATANGAZA UTAYARI WA KUANDAA MASHINDANO YA CHAN

›
  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, amesema kuwa Tanzania ipo tayari kwa ajili ya kuandaa Mashi...
Friday, July 18, 2025

DKT. YONAZI AIPONGEZA OFISI YA WAZIRI MKUU MAONESHO SABASABA

›
  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amewapongeza watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kw...

"KILA SEKTA IJIANDAE KUPOKEA WAGENI KUELEKEA CHAN", DKT. YONAZI

›
  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amezitaka sekta zote kujianda kupokea ...
Wednesday, July 16, 2025

WAZIRI LUKUVI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA 2025

›
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. William Lukuvi amefanya ukaguzi wa maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya ...

SERIKALI YAZINDUA MAFUNZO YA MTANDAO YA AFYA MOJA (ECHO)

›
  SERIKALI imeanzisha mafunzo kwa njia ya mtandao ya Afya moja (ECHO) ili kuwajengea uwezo watoa huduma wa kada za afya ya binadamu, wanyama...
Friday, July 11, 2025

KITUO CHA DHARURA CHA SERIKALI CHAWA KIVUTIO AFRIKA KWA KUKINGA MAAFA

›
Uwekezaji wa Serikali ya Tanzania katika kuimarisha mifumo ya kukabiliana na majanga kupitia Kituo cha Ufuatiliaji wa Majanga na Tahadhari y...
Thursday, July 10, 2025

UJENZI WA UWANJA MPYA ARUSHA WAFIKIA ASILIMIA 51

›
Mkurugenzi wa Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Bw. Paul T. Sangawe, amefanya zi...

DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO CHA TANZANIA NATIONAL COORDINATING MECHANISM (TNCM).

›
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chombo kinachosimamia utekelezaji wa Programu zinazofa...

DKT. KILABUKO: USHIRIKIANO WA KIKANDA MUHIMU KUKABILI MAAFA YA KIBINADAMU

›
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. James Kilabuko amehimiza ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana ...
Wednesday, July 9, 2025

MAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA

›
Mke wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu ...
Tuesday, July 1, 2025

DKT. YONAZI ATOA WITO KWA WATUMISHI KUJENGA TABIA YA KUJIFUNZA ILI KUIMARISHA UWAJIBIKAJI SERIKALINI

›
  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, amewataka watumishi wa umma kujenga tabia ya kujifunza kwa ...
Thursday, June 26, 2025

WAZIRI LUKUVI AITAKA BODI YA ATF KUFIKIA MALENGO KUTOKOMEZA UKIMWI 2030

›
  Serikali inategemea Bodi ya Mpya ya Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI italeta fikra mpya, mbinu mpya, na weledi wa hali ya juu ili kuh...
Tuesday, June 24, 2025

MAAMBUKIZI MAPYA VVU YAENDELEA KUSHUKA

›
  Imeelezwa kwamba takwimu za maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI katika kipindi cha miaka mitano imeendelea kushuka kulingana na matokeo ...
Monday, June 23, 2025

ELIMU KUHUSU OWM SERA, BUNGE NA URATIBU KUENDELEA KUTOLEWA

›
Mkurugenzi wa Idara ya Uwezeshaji Kiuchumi na Maendeleo ya Sekta Binafsi Bw. Conrad Milinga amesema, maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya...
Saturday, June 21, 2025

SERIKALI YATOA MFUMO WA RAMANI KUONESHA MAENEO YENYE VIASHIRIA VYA MAJANGA

›
  Serikali imeandaa mfumo wenye ramani inayoonesha maeneo yenye viashiria vya majanga katika mikoa na maeneo yake ili kuweka mikakati ya kuk...
Wednesday, June 18, 2025

SERIKALI YAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA SEKTA YA KILIMO KUPITIA ASDP II

›
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu, Bw. Omary Ilyas, ameongoz...
Tuesday, June 17, 2025

DKT. YONAZI AMEONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA TAIFA YA USHAURI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022

›
  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (mwenyekiti wa kikao) cha Kamati ya Taifa ya Ushauri ya Sensa ya ...
›
Home
View web version

Contributors

  • OFISI YA WAZIRI MKUU
  • pmohabari@gmail.com
Powered by Blogger.