Kwa upande wake, Bi. Mwakatobe ameahidi AICC kuipa Dodoma kipaumbele katika uwekezaji, na kueleza kuwa taasisi hiyo iko tayari kushirikiana na Serikali kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa viwango vya kimataifa.
Wednesday, October 15, 2025
SERIKALI YATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI WA UTALII WA MIKUTANO KATIKA MJI WA SERIKALI MTUMBA
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
imetangaza rasmi fursa za uwekezaji katika Mji wa Serikali Mtumba, hususan
katika sekta ya utalii wa mikutano, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kukuza
shughuli za kiuchumi katika Makao Makuu ya Nchi, Dodoma.

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.