Naibu
Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akizungumza wakati akizindua Tamasha la tano la watu wenye ulemavu
nchini, lililoanza leo Novemba 16, 2016 kwenye Hoteli ya Blue Pearl
Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limeandaliwa kwa udhamini wa Shirika
lisilo la kiserikali la The Foundation of Civil Society..
Baadhi
ya washiriki wa Tamasha hilo wakimsikiliza mgeni rasmi Naibu Waziri,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi
wakati akisoma hotuba ya ufunguzi wa Tamasha hilo katika Hoteli ya Blue
Pearl Jijini Dar es Salaam..
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.