MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMSHAURI YA NGORONGORO
Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo uliopo Wasso wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro uliopo kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo iliyopo Wasso Desemba 15, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.