Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kitanda wakati alipotembelea wodi ya wazazi iliyojengwa na kampuni ya mafuta ya OILCOM katika ENEO la Kisarawe Two wilayani Kigamboni, Januari 4, 2017. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.