Mlima wenye mwamba ambao watalaamu wa madini wameeleza kuwa kwa zaidi ya asilimia 60 una madini ya chuma katika eneo la Liganga lililotembelewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Januari 26, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mundindi wialyani Ludewa baada ya kutembelea mgodi wa chuma wa Liganga Januari 26, 2017. |
Wanawake wa kijiji cha mundindi wilayani Ludewa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia baada ya kukagua mgodi wa chuma wa Liganga Januari 26, 2017. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.