Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiogozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Mauritius, Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo wakati alipopokelewa kwenye
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini
Mauritius kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Uzinduzi wa
Jukwaa la Uchumi la Africa mjini Port Luis kuanzi Machi 20, 2017. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.