Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha za nyumba wakati alipotembelea Maonyesho ya Mpango wa ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 30, 2017. Maonyesho hayo yameandaliwa na Muungano wa Vikundi Vya Vicoba Tanzania (VIGUTA) .Kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa VIGUTA, Dkt. Salmin Ibrahim Dauda.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.