Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Viajna,Ajira na Wenye Ulemavu) wakiwa katika msafara
wa maandamano ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani (MEI MOSI),leo
tarehe 1 Mei, 2017 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es
Salaam. Kitaifa sherehe hizi zinafanyika mkoa wa Kilimanjaro. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.