Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri , Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,Bungeni Mjini Dodoma Juni 19,2017. |
Baadhi ya Wabunge wakibadilishina mawazo wakati wa futari iliyo andaliwa na Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai , kutoka kulia, Mbunge wa Ilala Idd Zungu. katikati Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge .na kushoto ni Mbunge wa Mbarali Haroon Mulla .Futari hiyo ilifuturiwa katika viwanja vya Bunge June 20, 2017 Mjini Dodoma. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa . akitoa salamu za Shukurani kwaniaba ya WaBunge na wafanyakazi wa Bunge , kwa Spika wa Bunge Job Ndugai , Kwakuwafuturisha , June. 20 .2017 katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.