Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakishiriki katika ibada ya mazishi ya Marehemu, Linah George Mwakyembe, Mke wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika Kyela Julai 19, 2017. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla, Spika wa Bunge, Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kulia ni Waziri wa Kilimo na Mifugo, Dkt . Charles Tizeba. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.