Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia kwake) wakitazama Kimondo wakati walipotembelea Kituo cha Mambo ya Kale cha Mbozi mkoani Songwe Julai 23, 2017. |
DED wa Mbozi, Elisey Mgoyi mmoja wa watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi ambao Waziri Mkuu aliagiza wasimashwe kazi na wafanyiwe uchunguzi na TAKUKIURU.
|
DT wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Simon Noeli ambaye pia amesimamishwa kazi. |
Cashier wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi Bahati Chomoka pia amesimamishwa.kazi. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa jengo la Mkuu wa Mkoa wa Songwe nje kidogo ya mji wa Vwawa mkoani Songwe Julai 23, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama nguo za batiki wakati walipotembelea banda la wanawake wajasiriamali wa Mbozi kabla ya mkutano wa hadahara uliohutubia wa Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Nalyelye wilayani Mbozi, Februari 23, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.