Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana katika Uwanja wa Ndege wa Tabora leo August.13.2017 . na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Tabora .Agrey Mwandi .Baada ya kumaliza ziara ya siku Nne katika Mkoa wa Tabora ,katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora Queen Mwashinga.
|
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwapungia Mkono wa kwaheri Viongozi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Tabora ambao walifika kumuaga katika Uwanja wa Ndege wa Tabora baada yakumaliza ziara ya siku Nne ya kikazi katika Mkoa wa Tabora leo August 13,2017. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.