Naibu Spika Dr Tulia Akson mwenye miwani akiwa na Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako (c) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catherine Magige. wamjulia hali leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka ,ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.