Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipokea kirungu ikiwa ni zawadi ya asili ya Kabila la Wamasai kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Mila wa Tarafa ya Longido, Thomas Olengulupa kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Longido mkoani Arusha Septemba 21, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea usinga ikiwa ni zawadi ya asili ya Kabila la Wamasai kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Mila wa Tarafa ya Longido, Thomas Olengulupa kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Longido mkoani Arsha Septemba 21, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Mrisho Gambo. |
Baadhi ya Wananchi wa Longido wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa wakati alipozungumza kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa maji wa Longido Mkoani Arusha, Septemba 21, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Longido kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa maji wa Longido Mkoani Arusha Septemba 21, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Longido kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa maji wa Longido Mkoani Arusha Septemba 21, 2017 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kuweka jiwe la msingi la Mradi wa maji wa Longido mkoani Arusha Septemba 21, 2017. Wapili kushoto ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Kulia ni Mbunge wa Hanang Dkt. Mary Nagu. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.