Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi Msuya akieleza umuhimu wa mpango wa uendeshwaji wa kituo Cha Operasheni na Mawasiliano ya Dharura kwa ajili ya kufuatilia maafa nchini kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama, leo tarehe 17 Oktoba, 2017, Dar es salaam. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.