Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Stephen Kebwe wakiangalia mashina ya miwa wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri Wilayani Kilosa Morogoro. |
Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Taska Mbogo (mb) akichangia hoja wakati wa mkutano wa kamati hiyo walipotembelea katika Sukari na Kilimo cha Miwa katika gereza la Mbigiri mkoani Morogoro Novemba 18, 2017. |
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia uwasilishaji wa mada kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe.Stephen Kembwe walipotembelea kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri Mkoani Morogoro Novemba, 18, 2017. |
Picha ya pamoja ya Baadhi ya Wajumbe wa Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria waliotembelea katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri Wilayani Kilosa Morogoro Novemba 18, 2017. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.