Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia kikao cha Makatibu wakuu Ofisi hiyo walipokutana kujadili utekelezaji wa majukumu yao Mjini Dodoma Novemba 24, 2017. |
Afisa Tehama Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Innocent Mboya akifafanua jambo wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi hiyo walipokutana Katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.