SERIKALI KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI WA KITAIFA WA MATOKEO YA UKIMWI 2016/17
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na waandishi wa Habari Mjini Dodoma mapema leo kuhusu maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayotarajiwa kufanyika Kitaifa Desemba mosi mwaka huu Jijini Dar es Salaam.kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI TACAIDS Dkt. Leonard Maboko.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) Dkt. Leonard Maboko akieleza kwa waandishi wa Habari kuhusu shughuli mbalimbali zitakazofanyika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam Desemba mosi mwaka huu .kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama .
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma uliofanyika Novemba 15, 2017.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.