Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI Mhe.Zainab Bullu akifafanua jambo wakati wa warsha kwa wajumbe wa kamati hiyo iliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi. |
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI Mhe. Masoud Abdalla salim akichangia hoja wakati wa warsha ya Wajumbe wa kamati hiyo mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.