Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amempa mwezi mmoja Afisa Ardhi wa Wilaya ya Namtumbo Bwana Maurus Year kuhakikisha ametatua tatizo la Ardhi lilodumu miaka kumi katika Wilaya ya Namtumbo. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jana Novemba 23,2017 katika mkutano wa hadhara Wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.