Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Wabunge kwa ajali ya maandalizi ya Mkutano wa Tisa wa Bunge la Kumi na Moja unaotarajiwa kuanza kesho Novemba 7/2017 Mjini Dodma. Mkutano huo umefanyika leo Novemba 6/2017 katika Ukumbi wa Msekwa Dododma.kushoto kwake ni Spika wa Bunge,Mheshimiwa Job Ndugai na kulia kwa Waziri Mkuu ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.