Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akizungumza jambo kwa viongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere walipomtembelea Ofisini kwake Desemba 19, 2017 Dodoma. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akizungumza jambo kwa viongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere walipomtembelea ofisini kwake Desemba 19, 2017 Dodoma. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere walipomtembelea Dodoma Leo.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Joseph Butiku na kushoto ni Bw.Samwel Hussein Kasori. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.