Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Susan Kolimba baada ya
kuwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017,
kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari 14 wa
JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya
Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC. Katikati ni Rais Mstaafu wa Awamu
wa Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na kushoto Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika - SADC. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.