Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati) akitaka
ufafanuzi kuhusu aina ya nyuzi zinazozalishwa na kiwanda cha JOC kutoka kwa Meneja
Mkuu wa kiwanda hicho, Bw. Jim Liu katika ziara fupi aliyofanya kiwandani hapo leo
asubuhi, Desemba 22, 2017. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,
Bibi Maimuna Tarishi na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Bi. Zainab
Tellack.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.