Afisa Kilimo Wizara ya Kilimo (Idara ya Usalama wa Chakula) Bw. Robert Dimoso akiuliza swali wakati wa Kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma. |
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa wakifuatilia uwasilishwaji wa mada kutoka kwa Mratibu wa Maafa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Charles Msangi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Januari 25, 2018 Dodoma. |
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen. Mbazi Msuya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Januari 25, 2018 Dodoma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.