Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha Lakairo Industries kwenye eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa makampuni ya Lakairo na Mbunge wa Rorya, Mhe. Lameck Airo, wanne kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Daniel Lameck. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Miongella . |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.