Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakizungumza na Noella Tekela, mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi ya Masaunga wilayani Bunda baada ya kuwahutubia wavuvi, wafanyabiashara wa samaki na wananchi kwenye kijiji cha Kisorya Februari 17, 2018. Mtoto huyo alionekana akiandika kwa usahihi katika daftari hotuba yote ya Waziri Mkuu katika mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.