Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Kasulu Mjini , Daniel Nsanzugwako kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wakati aliporejea akitoka Dar es salaam Machi 28, 2018. Wapili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kushoto ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na watatu kushoto ni Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.