Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha Makatibu Wakuu wakifuatilia mada wakati wa kikao cha kujadili maelekezo Mhe.Rais Dkt.John Magufuli aliyoyatoa wakati wa Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi (kulia) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Dkt.Zainabu Chaula walipokutano katika Kikao hicho. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.