Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Aprili 26, 2018, kutoka kushoto ni Mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Abood,Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari,Mbunge wa Mafinga Cosato Chumi,Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massayna Mbunge wa Mchinga Hamidu Bobali. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.