Monday, May 21, 2018

MAJALIWA AZINDUA UUNGANISHWAJI WA GRIDI YA TAIFA YA UMEME LINDI NA MTWARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Selemani Mzee baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara kwa ziara ya siku moja mkoani humo Mei 21, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipofya katika mtando wa kompyuta wa TANESCO ili kuiunganisha mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye  Gridi ya Taifa  wakati alipozindua  rasmi Mradi wa Uunganishwaji Umeme wa Gridi ya taifa  katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye Kituo cha TANESCO kilichopo katika  kijiji cha Mahumbika mkoani Lindi Mei 21, 2018. Kulia ni Waziri wa Nishati, Medard Kalemani.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizindua rasmi Mradi wa Uunganishwaji Umeme wa Gridi ya Taifa katika Mikoa  ya Lindi na Mtwara kwenye Kituo Umeme cha TANESCO kilichopo katika kijiji cha Mahumbika mkoani Lindi, Mei 21, 2018. Kulia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani.

Baadhi ya viongozi na wananchi waliohudhuria katika sherehe ya  kuzindua rasmi Mradi wa Uunganishwaji  Umeme wa Gridi ya Taifa katika mikoa  ya Lindi na Mtwara kwenye kituo cha TANESCIO kilichopo katika kijiji cha Mahumbika mkoani Lindi wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia baada ya kuzindua mradi huo, Mei 21, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuzindua  Mradi wa Uunganishwaji Umeme wa Gridi ya Taifa katika mikoa wa Lindi na Mtwara . Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Kituo cha TANESCO kilichopo katika  kijii cha Mahumbika mkoani Lindi, Mei 21, 2018. Kulia ni Waziri wa Nishati, Medard Kalemani. 

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.