Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Viongozi Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima Kahawa. Kikao hicho kulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Waziri wa Kilimo , Dkt. Charles Tizeba. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.