Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania wakiweka nguzo ya umeme katika eneo la Ihumwa ambalo limetengwa kwa ajili ya mji wa serikali Dodoma. |
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma wakiangalia maeneo mbalimbali yaliyotengwa kulingana na ramani ya Mji mpya wa Serikali Ihuma Dodoma. |
Eneo la Ihumwa ambapo Mji wa kiserikali unatarajia kujengwa hapo Jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.