Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama chombo cha kupima wingi wa mvua
baada ya kuzindua vituo 51 vya kufuatilia taarifa za hali ya hewa
katika viwanja vya Ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya Bahi mkoani Dodoma
Juni 27, 2018. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye
Ulemavu,Jenista Mhagama,Waziri wa Maji, Mhandisi Isaack Kamwele,
Mwakilishi Mkaazi wa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP)
nchini, Bibi Natalie Boucly na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kutoka
mkoa wa Dodoma, Felista Bura. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.