Monday, June 11, 2018

WANANCHI WA MISUNGWI WAHIFADHI VIAZI VITAMU KWA KUTUMIA NJIA YA ASILI YA JUA

Shida Peter wa kijiji cha Nyanh’onge wilayani Misungwi akianika viazi vitamu vilivyomenywa mganda maarufu kwa jina la mchembe  ikiwa ni njia ya asili ya kuvihifadhi kwa matumizi ya baadae, Juni 11, 2018. Hatua hiyo inatokana na mavuno makubwa ya zao hilo  waliyoyapata wakulima wilayani humo. 

Bibi Sarah Pauline wa kijiji cha Mondo  wilayani Misungwi akianika viazi vitamu vilivyomenywa mganda, maarufu kwa jina la mchembe  ikiwa ni njia ya asili ya kuvihifadhi kwa matumizi ya baadae, Juni 11, 2018. Hatua hiyo inatokana na mavuno makubwa ya zao hilo  waliyoyapata wakulima wilayani humo.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.