Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Pendo Lilola kwa kujifungua salama mtoto wa kiume katika wodi ya wazazi kwenye Hospitali ya wilaya ya Kasulu Julai 29, 2018. Mheshimiwa Majaliwa aliitembelea Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Julai 30, 2018. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.