Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yuan Qiang (kushoto) kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.