Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande akiomba katika mazishi ya wananchi waliofariki dunia katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Mazishi hayo yaliyoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa yalifanyika katika kijiji cha Bwisa kisiwani Bukara, Septemba 23, 2018. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.