MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maua wakati alipowasili kwenye makao mkuu ya kampuni ya Huawei Technologies yaliyopo Shenzhen nchini China, Septemba 5, 2018. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo duniani, Li Da Feng.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Huawei Techinologies yaliyopo Shenzhen nchini China baada ya kutembelea Ofisi hizo na kuzungumza na viongozi wa Kampuni hiyo, Septemba 5, 2018.

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.