Mshauri Mwelekezi kutoka Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam Prof. Honest Prosper Ngowi akiwasilisha majadiliano kwa wadau wakati wa kikao kazi cha Baraza la Taifa la Biashara kujadili Mwongozo kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi kwa ngazi ya Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba,2018. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.