Mkurugenzi wa Taasisi ya Maafa, Majanga na Uokoaji -SUKOS, Suleiman Kova (kulia) akizungumza jambo wakati wa kukabidhi vifaa vya zima moto pamoja na hati ya shukrani kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Kanali Jimmy Said Matamwe (katikati) na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Utafiti) Idara hiyo Bw.Bashiru Taratibu walipotembelea Oktoba 15, 2018. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.