Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya ujenzi wa madaraja ya kupitisha treni juu wakati alipotembelea kambi ya Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya Kisasa ya SGR Oktoba 3, 2018. Kambi hiyo ipo eneo la Shaurimoyo jijini Dar es salaam. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isack Kamwelwe. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua utandikaji wa reli ya SGR katika eneo la Soga mkoani Pwani, Oktoba 3, 2018. Wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.