Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akifafanua jambo kwa makatibu wakuu wa Ofisi yake walipokutana Bungeni Doodma kujadili utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo, wa kwanza kulia ni Prof.Faustin Kamuzora anayeshughulikia Sera na Uratibu, katikati ni Bi.Maimuna Tarishi anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.