Sunday, February 17, 2019

MAJALIWA ATEMBELEA GEREZA LA KWITANGA MKOANI KIGOMA KUKAGUA KILIMO CHA MICHIKICHI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mchikichi ikiwa ni ishara ya kuzindua mpango wa kupanua mashamba ya michikichi katika Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma, Februari 17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Kamishina wa  Magereza Nchini, Fhaustine Kasike wakati alipowasili kwenye Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma  akiwa katika ziara ya kufufua zao la michikichi mkoani humo Februari 17, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mchikichi ikiwa ni ishara ya kuzindua mpango wa kupanua mashamba ya michikichi katika Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma, Februari 17, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Sero katika Gereza la Kwitanga  Mkoani Kigoma, Februari 17, 2019. Gereza hilo ni maarufu kwa kilimo cha michikichi.  Kulia ni mkewe Mama Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenrali Mstaafu, Emmanuel Maganga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitazama mashine ya kukamua mafuta ya mawese wakati alipotembelea Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma ambalo ni maarufu kwa kilimo cha michikichi, Februari  17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitazama mashine ya kukamua mafuta ya mawese wakati alipotembelea Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma ambalo ni maarufu kwa kilimo cha michikichi, Februari  17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary wakitoka baada ya kuzindua  sero  katika Gereza la Kwitanga, maarufu kwa kilimo cha michikichi, Mkoani Kigoma, Februari 17, 2019. Walikuwa katika ziara yenye lengo la kufufua zao la michikichi mkoani humo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua matrekta mawili aina ya Ursus yenye thamani ya shilingi milioni 145 yatakayosaidia kuinua kilimo cha michikichi katika Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma Februari 17, 2019.  Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha Trekta aina ya Ursus wakati alipozindua matrekta mawili yatakayosaidia kuinua kilimo cha michikichi katika Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma, Februari 17, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha Trekta aina ya Ursus wakati alipozindua matrekta mawili yatakayosaidia kuinua kilimo cha michikichi katika Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma, Februari 17, 2019.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.