Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Sada Malunde (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Wende Ng’ahara (wa tatu kulia),Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Agnes Rwakayonza (kushoto) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Profesa Faustine Kamuzora katika kikao cha ndani cha kuwafunda viongozi hao kilichofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Februari 21, 2019. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.