- Aihakikishia, Kuifanya Sekta Binafsi
kuwa chachu ya Uwekezaji nchini.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Salum Shamte akieleza umuhimu wa kuwa na muongozo wa marekebisho ya kanuni za udhibiti ili kuboresha mazingira ya biashara (Blueprint), kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angellah Kairuki (Mb), wakati alipokutana naBodi hiyo tarehe 18 Januari, 2019, jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.