Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua kiwanda
cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited
(CSTC) kilichopo katika kijiji cha mbalala kwenye jimbo la Mtama mkoani
Lindi Machi 22, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum,
Hamida Abdallah, Naibu Waziri wa kilimo, Omari Mgumba, Kaimu Mkuu wa
mkoa wa Lindi na Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, Mwenyekiti wa
CSTC, Gerald Billet, Balozi wa ufaransa nchini, Frederick Clavier,
Mkurugenzi Mtendaji wa CSTC, Christophe Gallean na kulia ni Mbunge wa
Mtama, Nape Nnauye. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.