Sehemu ya wajumbe wa mkutano huo wakifuatilia neno la ufunguzi kutoka Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi (hayupo pichani). |
Mwenyekiti wa Timu ya Kutengeneza Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma Prof. John Lupala akichangia jambo wakati wa kikao hicho.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.